The House of Favourite Newspapers

Msukuma ‘La Saba A’ Atunukiwa Udaktari

0

Mbunge wa Geita Mjini, Mhe. Joseph Kasheku maarufu kama “Msukuma” jana Jumapili, Desemba 6, 2021 ametunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi (Honorus Causa in Politics and Leadership) na Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani, kama sehemu ya kutambua mchango wake kwenye siasa na uongozi nchini.

 

Sherehe za kutunukiwa udaktari huo wa heshima zimefanyika Jijini Dodoma. Mhe. Joseph Msukuma mwenyewe hupenda kujiita ‘wa La Saba A’ amesema pamoja na kupata elimu hii kubwa ya Udaktari,bado ataendelea kuwasemea wananchi kama alivyokuwa akifanya kipindi akiwa na elimu ya darasa la saba

 

Leave A Reply