The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji Leo – Picha

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Ofisi za Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique) Maputo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na Kuzungumza na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique)  Esperanca Laurinda Francisco Nhiuane Bias kwenye Ofisi za Bunge hilo zilizopo Maputo, Msumbiji.

Rais Samia akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuzungumza na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique), Esperanca Laurinda Francisco Nhiuane Bias, Maputo nchini Msumbiji.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique)  Esperanca Laurinda Francisco Nhiuane Bias.
Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique) Esperanca Laurinda Francisco Nhiuane Bias mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi za Bunge hilo zilizopo Maputo tarehe 22 Septemba, 2022.
Rais Samia akiagana na Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji (Assembleia da República de Moçambique)  Esperanca Laurinda Francisco Nhiuane Bias pamoja na Wabunge mara baada ya kuitembelea Bunge hilo tarehe 22 Septemba, 2022.
Leave A Reply