The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amlilia Balozi Sykes

0

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko, huzuni na majonzi taarifa ya kifo cha Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi, Balozi Abbas Kleist Sykes.

 

Sykes ndiye alikuwa Mkuu wa mkoa wa kwanza wa Dar es Salaam.

Leave A Reply