The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Mtulo alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

WAZIRI SILAA AWAJIBU WANAOSEMA ANAINGILIA MAHAKAMA -AELEZA MADUDU YANAYOFANYWA na MATAPELI wa ARDHI

Leave A Reply