The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa AICC

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Bi Mwakatobe alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Kiwanja cha ndege cha Kilimanjaro (KADCO).

Leave A Reply