The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Mke Wa Mkubwa Fella Aliyempata Kidato cha Kwanza Afunguka Mazito – Video

0
Meneja wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella akiwa na mke wake, Sweet Saidi.

Global Tv imefanya mahojiano na mke wa meneja wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella aitwaye Sweet Saidi Fela amesema kuwa yeye ndiye anayehifadhi fedha za mumewe na kwamba na hawezi kufanya kitu chochote bila kumshirikisha.

Ameendelea kufunguka kuwa mume wake huyo alimpenda tangu akiwa anasoma kidato cha pili ambapo alimlipia ada mpaka alipohitimu kidato cha nne na hatimaye wakaoana.

Leave A Reply