The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Gerson Msigwa Kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

0

Rais Samia amemteua Gerson Msigwa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, nafasi iliyoachwa wazi na Msigwa itatangazwa baadaye.

Leave A Reply