The House of Favourite Newspapers

Uteuzi: Maharage Chande Aondolewa Tanesco, Apelekwa TTCL

0
Maharage Chande

Rais Samia amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Taasisi na kumteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Anachukua nafasi ya Maharage Chande aliyehamishiwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

Leave A Reply