The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amuapisha Pereira Silima Kuwa Balozi wa Tanzania Comoro

0
Rais Samia, akimuapisha Mhe. Pereira Ame Silima kuwa Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Visiwa vya Comoro leo tarehe 07 Novemba, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuapisha, Pereira Ame Silima kuwa Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Visiwa vya Comoro leo Novemba 7, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.

Leave A Reply