The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha NEC Ikulu, Dodoma

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 7, 2021 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.

PICHA NA IKULU

Leave A Reply