The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aondoka Nchini Kwenda Uganda Leo

0

 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 11 Aprili, 2021 kwenda nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Vilevile, watahudhuria hafla ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP) juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) kwenda Tanga (Tanzania)

Leave A Reply