The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

0

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichoketi leo Juni 24, ikulu Dodoma, ikiwa ni siku moja tangu arejee nchini kutokea Msumbiji alipokwenda kushiriki mkutano wa dharura wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi, kibiashara na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Leave A Reply