The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Dar

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Leave A Reply