The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Septemba 7, 2022 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.

Leave A Reply