The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Ikulu Dodoma

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe,  Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei, 2022.
Rais Samia, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa.
Rais Samia, akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei, 2022.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Mhe. Emmerson Mnangagwa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei,2022.

KWAKWELI HAPA RAIS SAMIA KACHEZA kama SURE BOY, DOLA BIL 4 ZINAKUJA NCHINI, BALOZI AFUNGUKA.

Leave A Reply