The House of Favourite Newspapers

Waandishi wa Habari Arusha Watimuliwa kwa Kupigwa Mawe Kiwawa, Arumeru

0

Waandishi wa Habari kutoka mkoani Arusha leo Mei 22, 2022 wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Kata ya Imbasei Wilayani Arumeru Mkoani humo, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kwa lengo la kufuatilia taharuki ya Wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na Mizimu.

Katika tukio hilo Mwandishi wa GADI TV amejeruhiwa sehemu ya kichwani kwa kupigwa na jiwe huku mwandishi GLOBAL TV akijeruhiwa mkono wake wa kushoto.

Leave A Reply