The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Asimikwa Kuwa ‘Chifu’ Wa Machifu Tanzania -(Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan asimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania leo tarehe 08 Septemba, 2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa, Magu Mkoani Mwanza.

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 amesimikwa kuwa chifu wa machifu Tanzania na kupewa jina la HANGAYA likiwa na maana Nyota Ang’avu, katika Uwanja wa Msalaba Mwekundu Kisesa wilayani Magu, jijini Mwanza.

Leave A Reply