The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Atangaza Siku 7 za Maombolezo Kifo Cha Kaunda

0

Rais Samia  leo Juni 18, 2021 ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021, na kwa kipindi chote hicho bendera zitapepea nusu mlingoti.

Leave A Reply