The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ateta jambo na Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isdor Mpango Ikulu Chamwino

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteta jambo na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Desemba 10, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya Maafa yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali, Ikulu Chamwino Mkaoni Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

Leave A Reply