The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awasili Burundi – Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameondoka leo Ijumaa, Julai 16, 2021 asubuhi kuelekea nchini Burundi ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili.

Rais Samia amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye, jijini Bujumbura nchini humo ambapo amepokelewa na Naibu wa Rais wa nchi hiyo, Bw. Prosper Bazombanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kuelekea nchini Burundi kwa ajili ya ziara ya Kitaifa ya siku mbili.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply