The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awateua Diamond Na Shilole Kuwa Wajumbe Wa Baraza La Kupambana Na Malaria-Video

0

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Susulu Hassan amewateua baadhi ya wasanii wakiwemo Diamond Platnumz, Shilole na wengine kadhaa kuwa wajumbe na mabalozi wa kupambana Ugonjwa wa Malaria.
Uteuzi huo umetangazwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani yaliyofanyika kitaifa Mnazi-Mmoja jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply