Rais Samia Aweka Shada La Maua Kwenye Kaburi La Hayati Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.