The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Kufanya Ziara Kenya Mei 4

0

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda nchini Kenya Kufanya ziara rasmi ya siku mbili, ziara hiyo inatarajiwa kuanza tarehe 4 Mei 2021.

Rais Samia atafanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais Kenyatta na kisha atalihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya Nchi hiyo.

Rais Samia akiwa nchini Kenya (kuanzia May 04,2021), atahudhuria na kuhutubia Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania utakaofanyika Nairobi kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali yahusuyo fursa za biashara na Uwekezaji zilizopo Tanzania na Kenya.

 

Leave A Reply