The House of Favourite Newspapers

RC Kunenge Ampa Ujumbe Mzito Majaliwa-Video

0

MKUU wa Mkoa Dar es salaam, Aboubakari Kunenge, amempongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa moyo wake wa kujitolea katika shughuli za dini ilihali ana majukumu mengi.

 

Hayo ameyasema leo Mei 02 alipopata nafasi ya kuzungumza na kumshukuru Waziri Mkuu kwa kuitikia mualiko wa kuwa mgeni rasmi katika shindano la Kuhifadhi Qur’an lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

Leave A Reply