The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Suluhu Hassan Atoa Billioni 110 Kwa Chuo Cha UDSM

0

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimebainisha kuwa kimejizatiti kikamilifu kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Mageuzi ya Kiuchumi Katika Elimu ya Juu (HEET) ili kuwezesha uboreshwaji wa miundombinu ya elimu na hivyo kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchangia katika maendeleo endelevu.

Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa baraza la chuo hicho, Balozi Mwanaidi Maajar wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa usimamizi wa ujenzi wa majengo 21 ya chuo hicho utakaogharimu shilingi bilioni 110 zilizotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Leave A Reply