The House of Favourite Newspapers

Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na miaka 98

0

ais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi (98), Rais wa awamu ya pili wa Tanzania.

Mzee Mwinyi amefariki dunia saa 11 jioni ya leo Alhamisi Februari 29,2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

“Kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia leo Februari 29 saa 11 jioni katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya saratani ya mapafu.

Leave A Reply