The House of Favourite Newspapers

Rais wa TFF Awateua GSM Kamati Ya Ushindi Taifa Stars

0

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),  Wallace Karia leo Oktoba 13, 2020 ameunda Kamati ya Ushindi ya timu ya Taifa. Kamati hiyo itaongozwa na Ghalib Said Mohamed wakati Makamu wake ni Salim Abdallah na Katibu wa Kamatihiyo ni Hersi Said.

Leave A Reply