The House of Favourite Newspapers

Rasmi: Okwi Amesaini Mkataba Kujiunga na Simba

0

Emanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kujiunga na Simba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na michuano ya Afrika (Caf Confederatio Cup).

Leave A Reply