Msanii Prezzo Ateuliwa Kugombea Ubunge – Pichaz

MSANII wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini, almaarufu kwa jina la Prezzo, ametangaza rasmi kuingia kwenye siasa kwa kugombea ubunge katika jimbo la Kibra nchini humo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2022.

Msanii huyo alitangazwa rasmi na Kalonzo Musyoka, mkuu wa chama cha Wiper Democratic Movement ambacho ndiyo atagombea.


Loading...

Toa comment