The House of Favourite Newspapers

Ratiba ya Mazishi ya Magufuli Yabadilishwa

0

Ratiba iliyorekebishwa ya mazishi ya mpendwa wetu Dkt. John Pombe Magufuli!

Machi 20,2021- Mwili kupelekwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa taratibu za kuaga

 

Machi 21,2021- Wananchi wa Dar es Salaam kuaga mwili na kisha kusafirishwa kuelekea Dodoma

Machi 22,2021- Wananchi wa Dodoma kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Zanzibar

Machi 23,2021- Wananchi wa Zanzibar kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea mkoani Mwanza

Machi 24,2021- Wananchi wa Mwanza kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Chato mkoani Geita

Machi 25,2021- Wanafamilia na wananchi wa Chato na Mikoa jirani kuaga mwili

Machi 26, 2021- Shughuli za Mazishi kufanyika Chato mkoani Geita

Leave A Reply