The House of Favourite Newspapers

Mkutano wa Bajeti wa Bunge Kuanza Kesho, Ratiba Ipo Hapa

0
bungeni
Mkutano wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajia kuanza mjini Dodoma kesho, Aprili 19, 2016. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali.
Wabunge wote wametakiwa kuwasili mjini Dodoma siku ya Jumapili tarehe 17 Aprili 2016.
11 12 13 14 15
Leave A Reply