Rc Makala Atema Cheche Kwa Wamachinga-Video
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na wenyeviti wa vijiji katika kikao hicho cha uteuzi mpya wa wenyeviti RC Amosi Makala amewataka wenye viti kusimamia utekelezaji wa mpango mji na kuhakikisha wanawapanga machinga katika jiji la Dar es salaam…