The House of Favourite Newspapers

RC Makalla Aagiza Malipo Ya Fidia Mto Ng’ombe Yafanyike Jumatatu

0

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla Mei 26, 2021 ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng’ombe ufanyike Jumatatu ya wiki ijayo baada ya taratibu zote kukamilika.

 

RC Makalla ameyasema hayo alopokutana na watendaji wa taasisi mbalimbali zikizopo ktk mkoa wake kwa lengo la kufahamiana, kupokea taarifa na changamoto.

 

Utekelezaji wa ulipaji wa fidia wananchi mto Ng’ombe ni kufuatia agizo la katibu mkuu wa CCM, Daniel chongolo alilolitoa tarehe 22 mwezi huu na Kuagiza Mkuu wa mkoa kulifuatilia Suala Hilo na kulipatia ufumbuzi ndani ya wiki moja.


Leave A Reply