RC MWANRI KAWAGEUKIA MADIWANI -“Mzee Nitafyeka Wote Hawa” – Video

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amewaasa madiwani kutumia vizuri madaraka waliyonayo katika kuleta maendeleo kwa wananchi.

 

Mwanri amesema hatakuwa na ajizi kwa diwani yeyote atakaechelewesha maendeleo kwa wananchi. Amezungumza hayo alipokuwa akifungua kikao kazi cha maadili Mkoani humo.

TAZAMA HAPA


Loading...

Toa comment