The House of Favourite Newspapers

RICK ROSS AMPA KICHANGA WAKE JINA LA BILLION

RAPA maarufu wa Marekani, Rick Ross, amepanua familia yake baada ya wiki iliyopita kupata mtoto wa kiume ambaye amemwita Billion.

Kichanga huyo ambaye jina lake kamili ni Billion Leonard Roberts, anakuwa mtoto wa nne wa Ross miongoni mwa ambao amewapata kutokana na wanawake tofauti.

Ujio wa mtoto huyo umeungana na matayarisho ya rapa huyo anayetarajiwa kutoa albam yake kiboko iitwayo Port Of Miami 2.

Comments are closed.