The House of Favourite Newspapers

Rigwaride la Afande – 2

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:

“Sasa si nimekwambia lete yoyote lakini ya baridi…”
“Eti anti, nikupe bia gani?”
“Yoyote.”
Yule mhudumu aliondoka akicheka.
Baada ya kunywa bia moja, mbaba alinisimamisha na kuniambia…
“Twende huku la sivyo itakula kwako.”

JIACHIE MWENYEWE SASA…

Jamani wewe…wapi sasa?”
“Hutaki?”
“Siyo kama sitaki…nataka kujua tunakwenda wapi?”
“Si kule…mimi si mtu mbaya kwako. Ningekuwa mbaya ningekupa pesa yangu? Twende.”
Maneno yake yalikuwa kama kumsukuma mlevi, kwani nilijikuta miguu ikikubali kwenda yenyewe bila kulazimishwa huku nikiwa najishangaa.
Tulikwenda kuingia kwenye nyumba moja kubwa sana. Ina vyumba huku na huku, katikati ni korido pana. Ilionekana kila chumba kilijitegemea. Kwa hiyo hakukuwa na chumba na sebule. Ilikuwa maalum kwa ajili ya kupanga tu.
Basi, yule mbaba aliingia kwenye chumba cha katikati kwa kufungua kufuli na funguo alizokuwa nazo.
“Karibu, pita,” aliniambia huku akinipitisha mlangoni, akaweka pazia la mlango vizuri kisha akaufunga kwa kitasa cha ndani.
“Kaa hapo,” naweza kusema aliniamuru kwa sauti yake na vile alivyonikodolea macho. Alitaka nikae kitandani. Nikakaa na yeye akakaa jirani kabisa na mimi na kuanza kusema…
“Sikia mrembo. Wewe ni mzuri sana. ukiwa na mtu kama mimi utafaidi mengi sana. Mimi najua kutunza si kama wanaume wengine. Je, uko tayari?”
“Mh!” nilijikuta nikiguna mwenyewe kabla ya jibu maana sikujua kule kulikuwa ni kutongoza au ni nini!
Nilimwangalia usoni kwa macho ya kumsoma, nikamwonea huruma jinsi asivyojua kumwingia mwanamke, hasa mrembo kama mimi.
“Sawa,” nilimjibu baada ya moyo wangu kuamua niwe naye. Niliamua kuwa na yeye na Mwanafyale wangu au Mwana FA maana huyu si ameniahidi kunitunza na elfu ishirini kwake si kitu!
“Haya, lala kitandani sasa,” aliniambia huku akinishika miguu ili nipande kitandani…
“Haa! Sasa mbona mapema hivi bwana…mimi sitaki kama ni hivyo…”
“Wewe unataka kula jeuri yako siyo? Si umeshakubali,” aliniambia akinizidi nguvu na kunipandisha kitandani mwili mzima, akanivua nguo zote. Si unajua tena, mwanamke ni mwanamke tu, siku zote hatuna ujanja kwa wababa wenye miguvu kama yule.
“Mimi sitaki bwana, unataka kunibaka siyo?” nilimuuliza…
“Wewe nakubaka wakati umekubali mwenyewe kuja mpaka ndani na tumeongea, umekubali. Usiseme maneno hayo siku nyingine,” aliniambia huku yeye akivua nguo zake kiaina na kuwa juu ya kitanda. Hapo wote tulikuwa kama tulivyozaliwa.
Alinisogelea, akanihemea kwenye sikio la kushoto, mwili ukasisimka sana. Kuumbwa ni kuumbwa tu, ningefanyaje sasa mwenzenu?
Alipogundua nimesisimkwa na kitendo chake hicho cha kunihemea sikioni, akabadili, akanihemea kwenye shingo, nikasisimka tena zaidi na kutaka kutoa mlio wa mahaba. Akanigeuza, nikalala kifudifudi. Hapo umeshajua awali nililalaje!
Akaanza kunilamba shingoni huku akitoa mlio wa kuhemka kwa sauti yake nzito. Mwenyewe bila kupenda, nilimtoa kisha nikageuka na kuangalia angani. Nikamkaribisha kwangu maana sikuwa na namna zaidi ya kukatwa kiu.
Heee! Haikupita dakika moja, mbaba akamaliza. Nikamchukia moyoni maana mwenzake ndiyo kwanza. Lakini cha ajabu akaunga. Hee! Dakika moja nyingi akamaliza.
“Mh,” niligunia moyoni mwenyewe.
Nilijua ameshachoka sasa! He! Akaanza tena! Dakika mbili mbele nyingi, akamaliza…
“Ndiyo nini sasa?” nilimuuliza.
“Kwani we unapata tabu gani?” aliniuliza kwa sauti ya kukatakata huku akianza tena! Nilianza kuhisi na yeye ni miongoni mwa majini au viumbe wa ajabu! Yaani mpaka mara hizo kweli jamani?! Akamaliza… akaanza tena…
“Aaa…hii sasa sifa bwana,” nilimwambia.
“Sihitaji sifa yako wewe!” alinijibu, nikabaini haujui msemo huo ndiyo maana alinijibu vile!”
Hali hiyo aliendelea nayo ndani ya karibu dakika arobaini na tano nikabaini kuwa, alikuwa mgonjwa kwani katika hali ya kawaida, mtu hawezi kuwa vile.
Alipindukia upande wa pili na kupitiwa na usingizi. Hapohapo alianza kukoroma kwa kishindo. Nilitoka kitandani, nikaenda kukaa kwenye kochi dogo, nikaanza kukikagua chumba. Kilikuwa kikubwa lakini kilionekana kidogo kwa vile kilikuwa na vitu vingi sana! ni chumba sebule, masofa manne, kitanda, kabati la nguo, la vyombo. Redio kubwa, tivii ya maana, yaani kila aina ya samani inayotakiwa kuwepo ndani ya nyumba ilikuwemo.
Katika hali ya kushtusha, nikaona suruali ya polisi na shati lake, nikatumbua macho…
“Mamaaa…afande,” nilisema moyoni. Nikaanza kuwa na wasiwasi. Kiasili mimi ni mwoga sana wa polisi. Kwa hiyo kujua niliingia ndani ya chumba cha polisi peke yake, ilitosha kunifanya niugue kiuno palepale.
Nilivaa haraka sana, nikasimama na kumwamsha ili niondoke bila kutaka senti tano yake…
“We mbaba…mbaba wewe,” nilimtingisha kwa upole.
“Ee…ee! Unasemaje?” alishtuka kutoka usingizini. Kabla sijamwambia madhumuni ya kumwamsha, akanishika mkono, akanivutia kitandani, nikaanguka puu! Akaanza tena!

Je, nini kiliendelea hapo? Usikose kusoma kwenye Risasi Jumatano ijayo.

Comments are closed.