The House of Favourite Newspapers

Rigwaride Ra afande-12

0

ILIPOISHIA RISAJI JUMAMOSI:
“Kwanza utakuwa mke wa nani humu ndani sasa?” aliniuliza kwa sauti ya chini, nikatabasamu…
“Wewe hapo,” nilisema kwa sauti ya chini. Akanifuata kitandani haraka sana, akanipa denda, nikalipokea bwana…
SHUKA NAYO SASA…

Tuligandana ndani ya denda kwa muda wa sekunde kadhaa mpaka tuliposikia mlio wa mlango wa chooni, tukaachana, afande Mwira akarudi kusimama palepale mlangoni…
“Kwa hiyo ndugu yangu afande Mwira utanisaidiaje na huu ugeni?” alisema afande Mwita akimpita mwenzake mlangoni, akaingia ndani na kukaa kitandani…

“Da! Mzigo huu bwana itabidi uwepo tu hapa nyumbani. Mimi naamini baada ya siku kadhaa, mama ataurejesha moyo wake nyuma, atamwita au atamfuata binti yake.”
“Kweli?”

“Kabisa. Kwa sasa si unajua ana hasira.”
“Lakini kweli kabisa. Hapo na mimi nadhani iwe hivyo,” alisema afande Mwita akimuunga mkono mwenzake.

Tulikutana macho na afande Mwira, nikaachia tabasamu nikijua kwamba, yeye hatafanya hivyo kwani alikuwa anatuangalia wote, mimi na afande Mwita. Nikamkonyeza kama mara tatu hivi…
“Sasa mimi narudi kazini, sijui itakuaje?”

“Oke, basi mimi utanikuta naye. Leo sitoki kwenda popote pale,” alisema afande Mwira huku akianza kutembea.
Alipofika usawa wa dirisha kwa nje, afande Mwita alimuita afande Mwira…
“Haloo, afande Mwira hebu nisuburi kidogo,” alisema afande Mwita huku akitoka chumbani.

Alizunguka, akaenda kusimama na afande Mwira usawa wa dirishani. Walizungumza kwa sauti ya chini lakini nilichobaini ni kwamba, afande Mwita alikuwa anaazima pesa kwa afande Mwira. Nilisikia kwa mbali akisema ‘nitazirejesha mwisho wa mwezi.’
“Twende nikakupe ndani,” alisema afande Mwira kwa sauti…

“Nenda kalete, utanikuta hapahapa,” alisema jamaa yangu afande Mwita.
Afande Mwira alitoka, afande Mwita akasimama usawa wa dirishani akimsubiri. Lakini mtu aliyesimama dirishani nje ilikuwa si rahisi aone ndani kukoje.
Afande Mwira alifungua mlango, akazama ndani kwake. Mara akatoka, akasikika akitembea kuja kwenye chumba nilichokuwepo. Akashika kitasa, akasukuma mlango, akazama ndani kabisa ya chumba.

Wote tukawa tunamwangalia afande Mwita alivyosimama kule nje ya dirisha akisubiri. Afande Mwira akanisogelea na kusema…
“Jamaa yako kaniazima pesa…ndiyo nimemfuatia sasa.”
Niliachia tabasamu laini huku nikimlegezea macho afande huyo kwani alikuwa amesimama akiniangalia kwa chini. Mimi mfupi yeye mrefu.

Akanikumbatia, nikamkumbatia, akanibusu ndani kwa ndani, nikambusu ndani kwa ndani ili jamaa nje asisikie. Nikamwangalia tena, akaniangalia tena.
“Mh! Kwa hali ninayohisi sitakubalia aondoke mpaka tufanye kweli hata kama huyo afande Mwita yupo hapo nje,” nikawaza.

Muda wote huo tulikuwa tukiachana kuangaliana, tunakimbiza macho nje kupitia dirishani kumwangalia afande Mwita. Alikuwa akitembeatembea hapa na pale akisubiri pesa.

Nilimwona afande Mwira akinipa denda, nikalikubali, tukadumu hapo tukihema kwa mhemko wa mahaba mazito huku afande akinishikashika sehemu mbalimbali za kifuani. Nikajikuta naishiwa nguvu zote.
“Ila wewe mtoto unanipa raha sana tena sana,” afande huyo aliniambia huku akiwa kaishika vizuri nido yangu ya kulia.

“Kwa nini unasema hivyo dia?” nilimwuliza.
“Kwa mengi, kwanza siyo muoga na pili unayajua mapenzi sana,” afande Mwira alinifagilia.

Tukiwa tumesimama kila mmoja wetu akiwa hajiwezi, afande Mwira akanitegesha sawasawa, nikategeka vilivyo.
Akaniangalia kuashiria kwamba alihitaji nimpe, kwa kuwa akili ilikwishahama nami nikamwangalia huku macho yangu yakimweleza ‘sasa unangoja nini bwana!’

Kwa kuwa macho nayo huwa yanazungumza, afande Mwira alinielewa akanivutia kwake na shughuli ikaanza palepale. Ilikuwa nusu tabu nusu furaha kwetu kwani macho yalikuwa yakicheza ndani na nje aliko afande Mwita.

Lakini tulijitahidi kwa tabutabu hivyohivyo mpaka tukajikuta tunazoea. Sasa tukawa kama tupo huru kama nje hakuwepo afande Mwita. Maana mimi nilianza kuweweseka sasa, nikawa napagawa kwa maneno.

Kadiri afande Mwira alivyokuwa akiwajibika ndivyo nilivyoshindwa kujizuia kupiga mayowe ya raha, ilibidi afande Mwira anishike kinywa ili nisipige kelele au sauti yangu isitoke nje ambako ingesikika vilivyo na kuzua balaa.

Ili kwenda na muda, nikakazana sana, nikaona mwenzangu akitetemeka na mimi nikatetemeka. Loo! Afande Mwira akawasili kituo kikuu kama mimi nami nilivyowasili muda huohuo.

Nikiwa nimeishiwa nguvu baada ya kumaliza mwisho wa safari isiyo na bughudha zaidi ya raha, afande Mwira alinikumbatia kisha kunichumu mara kadhaa midomoni na shavuni.

Aliponifanyia hivyo kama tuliambiana tuangalie nje alikokuwa afande Mwita, tulipofanya hivyo tulimuona akitembea kuelekea upande wa choo, akazama ndani.
“Jamaa yako kasubiri hadi kabanwa na haja ndogo,” afande Mwira akiwa bado kanikumbatia akaniambia.

Kutokana na kauli yake hiyo, nikacheka kwa sauti kwa sababu nilijua hakuna mtu ambaye angenisikia na kumuuliza alijuaje kama ni haja ndogo na siyo mzigo mkubwa!
Afande Mwira alicheka na kuniambia anaangalia saa kama afande Mwita atakaa kule msalani kwa zaidi ya dakika tano basi itakuwa amekwenda kukata gogo.

“Afande Mwira una maneno, sasa kukata gogo ndiyo nini?” nilimwuliza.
“Na wewe kukaa kote katika hili jiji tena Temeke, hujui maana ya kukata gogo?” afande Mwira akaniuliza kisha kufunguka moja kwa moja maana yake.
Nilicheka sana mpaka akaniziba mdomo kwa kiganja maana alihofia rafiki yake angesikia jambo ambalo hakupenda litokee.

Tukiwa tunaangalia nje kupitia dirishani, tulimuona afande Mwita akitoka msalani ndipo afande Mwira akaniachia haraka na kutoka huku akijiweka sawasawa. Alikwenda nje, akampa pesa afande Mwita na kumwomba msamaha kwa kumchelewesha…

“Usijali afande Mwira bwana. Kawaida sana, mimi nakushukuru kwa kila kitu, umenifaa maana nilikuwa sina kitu,” alijibu jamaa yangu. Akaja ndani. Lakini ghafla alisimama na kuniangalia sana…
Je, nini kiliedelea hapo? Usikose kusoma kweli Risasi Jumamosi ijayo.

Leave A Reply