The House of Favourite Newspapers

Ronaldo yuko vizuri kwenye ‘mkong’oto’

0
Ronaldo (2) Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ‘CR7’ ameendelea na mapumziko yake huku akila bata na safari hii akikutana na bingwa wa mchezo wa UFC ambao wapambanaji hutumia ngumi na mateke.
Ronaldo (1)Ronaldo amekwenda kucheza mchezo huo na bingwa Conor McGregor akiwa jijini Las Vegas, Marekamni wakati akiwa akiendelea na mapumziko baada ya kupata majeruhi kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la UEFA EURO 2016, ambapo Ureno ilinyakuwa kombe hilo kwa kuipiga mwenyeji Ufaransa kwa goli moja.
Katika picha Ronaldo ameweka pozi akiwa na McGregor utafikiri wanazichapa.
Leave A Reply