The House of Favourite Newspapers

Rushaynah Ex Wa Manara Ajilipua Penzi Lake Na Harmonize – Video

0
Mwanadada Rushaynah.

Mwanadada Rushaynah aliyewahi kuwa mke wa Haji Manara, amefungukia video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na Harmonize.

Rushayna amefunguka kuwa video hizo ni za siku nyingi na zilipigwa siku ya uzinduzi wa ngoma ya msanii huyo na kwamba yeye alikuwa anashow love kwa Harmo kwa sababu ni rafiki yake.

Leave A Reply