The House of Favourite Newspapers

Sabaya Afya Yake Tete Gerezani, Ugonjwa Unaomsumbua Ni Tishio-Video

0

Wakili namba Mbili upande wa Utetezi Wa Mshtakiwa Lengai Ole sabaya Faudhia Mustapha ameelezea afya ya mteja wake Lengai Ole Sabaya Aliyepo Magereza Hali iliyopelekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha Imeahirisha Kesi ya Uhujumu Uchumi Inayomkabili Lengai Ole Sabaya Na Wenzake Sita baada ya Lenagi Ole sabaya Kuendelea Kuumwa..

Leave A Reply