Said Mrisho na Mkewe Wakutana LIVE
Kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu anayedaiwa kuwa ni, Salum Njwete ‘Scorpion’, ambaye hivi karibuni alidaiwa kumtelekeza mkewe, Stara Sudi ‘Mama D’ na watoto wanne, sasa wanandoa hao wamekutana LIVE.
Unataka kufahamu kilichojiri baada ya kukutana?
Usikose kutazama Global TV Online, LIVE leo Jumatatu saa 12:15 jioni, kuona kilichotokea baada ya wanandoa hao kukutana.
SUBSCRIBE SASA ==>Global TV Online
ILIKUPITA HII?