The House of Favourite Newspapers

Samatta atimiza miaka 24

samatta MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ‘Samagoal’  leo Ijumaa nasherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 24.

samatta-1 Mtanzani huyo  ambaye ni chimbuko la klabu ya African Lyon kabla ya mwaka 2010 kujiunga na Simba ambayo alifunga jumla ya mabao 13 katika mechi 25 alizocheza kabla ya  mwaka 2011 kuuzwa kwa mabingwa wa kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, TP Mazembe ambapo huko alifunga mabao 60 katika mechi  103 alizochezea timu hiyo.

samattaHata hivyo Tp Mazembe walimuuza Samatta  katika klabu ya KRC Genk  Ubelgiji ambapo mpaka sasa amefanikiwa kuicheze Jumla ya michezo 22 akifanikiwa kuingia nyavuni mara nane pekee huku akiwa ndiye mchezaji pekee wa Tanzania anayeshiriki katika michuano ya ligi ya Europa akiwa na timu yake.samatta-2

Heri ya kuzaliwa Mbwana Samatta.

Duh! Hii Kali, Sangoma Anaswa Akimroga Darassa!

Comments are closed.