The House of Favourite Newspapers

Samatta: Hatujafurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Dhidi Timu Ya Zambia

0

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amesema yeye pamoja na wachezaji wenzake hawajafuraisha na matokeo ya mchezo wao dhidi Timu ya Zambia.

Mchezo huo wa AFCON wa hatua ya makundi ulimalizika kwa sare ya 1-1 licha ya Zambia kupata kadi nyekundu kipindi cha kwa kwanza cha mchezo.

Leave A Reply