The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Sentensi ya Sholo Mwamba Kuhusu Kutoka Kimahaba ya Muna Love, Bifu na Man Fongo Veepe?

Msanii wa Muziki wa Singeli hapa Bongo, Sholo Mwamba ameweka bayana kuhusu kuwepo kwa bifu kati yake na msanii mwenzake Man Fongo hali ambayo ilidaiwa hapo kipindi cha nyuma kuwa imewafanya washindwe kuelewana ilihali walikuwa marafiki.

Anadai hajawahi kuwa na bifu na msanii yeyote na hawezi kuwa na bifu kwani yeye ni msanii na anahitaji kufanya kazi na wasanii tofauti ili kukuza kazi zake.

Sentensi nyingine aliyoiweka bayana Sholo ni kuhusu tetesi zinazosambaa mtaani kuwa anatoka kimapenzi na Meneja wake, Muna Love…

Nisikunyime uhondo, play video hapo umsikie Sholo akifunguka.

Comments are closed.