The House of Favourite Newspapers

SERIKALI: MARUFUKU MIFUKO YA PLASTIKI KUANZIA JUNI MOSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Juni, 1 mwaka huu itakuwa marufuku kutumika mifuko ya plastiki nchini. Avitaka viwanda kuja na teknolojia mpya mbadala

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa tamkoa hilo leo Aprili 09, akiwa Bungeni wakati wa hitimisho la majadiliano ya Bajeti la ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2019 / 2020

Comments are closed.