The House of Favourite Newspapers

Serikali Yamkana Mo, Manara, Sakata Mabadiliko Simba

0

SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa klabu hiyo ambao waliweka wazi kwamba wanakwamishwa na Serikali.

Simba kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuelekea kwenye mabadiliko ambao bado haujakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi wa timu hiyo kushindwa kukamilisha taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria.

Taarifa iliyotolewa leo Novemba 19 imeeleza:-

Leave A Reply