The House of Favourite Newspapers

Shangwe Shangwena, Vodacom Yamzawadia Gari Mkazi wa Arusha

0

Mshindi wa nne wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena,  Regina Kashmir mkazi wa Moshono jijini Arusha  akifungua mlango wa gari mpya  aliyojishindia kwenye promosheni hiyo.  Anayeshuhudia kushoto ni  Mkuu wa wilaya ya Arusha,  Mhe. Kenan Kihongosi.

Mshindi huyo alivyokabidhiwa funguo ya gari lake.

Regina akishangweka baada ya kukabidhiwa gari lake.                                                                                  Regina akiwa kwenye picha ya pozi na viongozi na wadau wa Vodacom kwenye hafla hiyo.
Leave A Reply