The House of Favourite Newspapers

SHEHE MKUU – “Ndoa ya Amber Rutty Mmh…/ Aliingiliwa Kinyume na huyo Mume”

SIKU chache baada ya mwanamuziki, Amber Rutty, kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi anayeitwa Davil, Global TV imemtafuta Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salim, na kumuuliza utaratibu wa kidini kuhusiana na suala zima la ndoa.

Global TV imelazimika kumtafuta Shehe kufuatia tukio lililotokea hapo awali kabla ya Amber Rutty kufunga ndoa, ambapo zilivuja video zinazomuonesha akifanya mapenzi kinyume na maumbile na Mwanaume huyo huyo ambaye amemuoa kwa sasa.

Kama tunavyofahamu kuwa maandiko ya dini zote yanakataza vitendo vya kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, hivyo tukataka kufahamu kwa upande wa dini ya Kiislamu kwa mtu ambaye amekwisha shiriki kitendo hicho ni ruksa kuolewa tena na mwanaume huyohuyo au laah.

Comments are closed.