Sheikh Sharifu Majini Kufanya Dua Kumuombea Rais Samia Kesho
Sheikh Sharifu Majini ameandaa dua maalum ya kuiombea dunia pamoja na Rais wetu, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Jumapili May 2, 2021 na atakuwa Live Global TV Online, kuanzia saa 4:00 asubuhi!