Shepu ya Lulu Diva Gumzo Mtandaoni

HIVI karibuni mwanadada Lulu Abbas ‘Lulu diva’ aliposti picha kwenye akaunti yake ikimuonyesha ana shepu kubwa, jambo lililofanya baadhi ya mashabiki zake kudai anatumia mchina.

 

“Mmmh Lulu Diva hii shepu yote umeitoa wapi? Maana hukuwa hivi wewe au umeanza kutumia mchina?” Alihoji shabiki mmoja ambapo Lulu naye alijibu kwa kumwambia hawezi kufanya hivyo bali ni uumbaji wa Mungu tu.“Og hiyo baby, siwezi tumia mchina,” alijibu msanii huyo.

Toa comment